JAMII MATATANI
Taarifa Mpya Yadhihirisha Jinsi Benki ya Dunia Ilivyoshindwa Kulinda Kanuni Zake Zinazolinda Haki za Binadamu Tanzania
Taarifa mpya yaonyesha kwa kina Benki ya Dunia ilivyoshindwa kurekebisha makosa yake kufuatia ukatili uliopindukia dhidi ya binadamu uliyosababishwa na mradi wake wa utalii Tanzania.Pamoja na Mpango Kazi wa Utawala (MAP) wenye lengo la kushughulikia madhara yaliyotokana na mradi baada ya mradi huo kufungwa, Benki ya Dunia inaendelea kushindwa kutetea jamii zinazokumbana na mauaji, vitisho vya kufukuzwa kutoka ardhi zao, na zuio la riziki.Askari wa TANAPA waliofadhiliwa na Benki ya Dunia wanaendeleza ugaidi dhidi ya wanavijiji huku serikali ya Ta